Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

Dreamboy inaonekana unapenda kulalamika.

Iko hivi,kwa ninavyojua ndoto nyingi tunazoziota hua ni matokeo ya yale tunayoyafanya kutwa nzima(hapa sio kila ndoto)Tunatofautiana tu,wengine wanaota kimya kimya,wengine kwa sauti.Sasa kama we unaota kwa sauti na unayoyaongeaga ndotoni inaonesha mwenzio hayapendi,manake upunguze kufanya yasiotakiwa kutwa nzima ili usiku ukianza kuota uongee yale mazuri tu

MMMMHH sio kweli, leo nimeota naongea na BILGATE kuhusu mpango wa kujenga kiwanda cha saruji mbeya, tena kwa sauti. Asubuhi wife kaniambia " ACHA UTOTO" Mi ndio nilikuwa naota naongea na BILGATE
 
MMMMHH sio kweli, leo nimeota naongea na BILGATE kuhusu mpango wa kujenga kiwanda cha saruji mbeya, tena kwa sauti. Asubuhi wife kaniambia " ACHA UTOTO" Mi ndio nilikuwa naota naongea na BILGATE
Ndo maana hapo kwenye mabano niliweka (sio zote)
 
Ukiona ndoto zako hazijakamilika ENDELEA KULALA
Ndoto za usiku usiku huwa kukamilika kwake ni mwisho wa usingizi tu. Na sidhani kama ukilala ubaweza kuota, ila nafikiria ukisinzia
 
Back
Top Bottom