Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

Msaada: Ndoto za usiku(Nightmares)

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo la ajabu ! . Tatizo kwangu ni kuota kwa kujiongea ongea kwa sauti,
Nakuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu ninae lala nae huwa anaamka amenuna hasa, eti anishtumu nipunguze michepuko,which sometimes is not true. Nakuwa mkimya tu.
Sasa kama kuna matibabu mnishauri,au mnielekeze cha kufanya.
Hivi kesho wife anaelekea kwao,sasa hata sielewi nini nifanye. Friends ,this is serious !
 
Kwanza tupe tafasiri ya user name yako tafadhali.....
Baada ya hapo, then tutaendelea na hoja yako
 
Back
Top Bottom