Prezdaa Shaco
Member
- Sep 3, 2013
- 46
- 8
Nina ndugu yangu yupo mwaka wa pili UDSM semester Hii ya tatu amekosa ada na ameambiwa agairishe mwaka kwa kukosa ada.
HOJA ni kwamba yeye hataki kugairisha mwaka mana hata akigairisha mwaka hana uhakika wa kujua Ni lini atapata ada kwa uhakika ili asome mana HESLB (loan board) ameomba zaidi ya Mara tatu na amenyimwa mkopo.
SWALI: Je akienda kuweka kizuizi mahakamani ili amalize Hii semester then atalipa ada akiwa likizo inawezekana? Mana anasoma hicho chuo cha serikali. Au Hamna haki hiyo katika sheria?