Prezdaa Shaco
Member
- Sep 3, 2013
- 46
- 8
Ndugu hapo hata kama chuo ni cha serikali kesi mahakamani haitamsaidia mdogo wako. Kuweka zuio kwenye scenario kama hiyo lazima muwekaji awe na LEGITIMATE EXPECTATION, aitha ya kulipiwa ada au ya kumaliza masomo hata kama hujakamilisha ada. hapa ni kwamba chuo kina mamlaka ya kuzuia mwanafunzi asiyelipa ada, na HELSB hawalazimishwi kumlipia mtu, ni hiari yao
Kwahiyo wamshauri afanye mini?