Nimekuelewa mkuuJambo la msingi hakikisha ile familia ya mfiwa haina neno nanyi, usiseme wapo kimya tu lazima ujue kwa undani mioyo yao ipo safi!?
Baada ya hapo muone hakimu au askar anayehusika na hiyo kesi kujua muafaka.
Kukataa kesi ni ujinga akati kweli umefanya na ni suala la kawaida haya mambo.
Sawa tutafanya hivyo ndugu yanguPoleni Sana Mwambie asiogope Hiyo traffic case inaenda mahakamani ataulizwa tu Kama ni kweli atajibu kwa kawaida kwa kua akukusudia inabidi alipe faini ambayo hua ni elfu 56000 Kama sijakosea na jalada hua linafungwa
Tafuta mwanasheria mpeni elfu 10 atawaelezea vizuri
Nashukuru sana mkuu wangu, nimepata mwongozo kwa hiliKwanza Pole Kwa wafiwa, kama kesi Imeshafika kwa Pilato hamna namna.
Cha Kwanza Mambo ya Jembe lake liko huko huko achana nayo kbs, ujue hapo uhai wa mtu umetoka. usije kuwatibua wafiwa.
Hao Wafiwa kuwa Karibu nao ili huyo mwanasheria akiuliza unasema nimeshawaona na pole nimewapa!
Ukifanya hivyo unawarahisishia Kazi Mwendesha Mashtaka na Bw.Pilato. Kaa nao Vizuri Mwanasheria na Bw. Pilato, Sijui Ushanfahamu hapo.? haitakiwi kutoa detail sana kwenye ushauri. Mambo ya Akatae au Akubali watafundishana mbele kwa mbele.