CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Movies zako zinasoma extension gani? mkv, mp4, vod n.k? Kuna app utakua umeiset kuzifungua as a default, umesema zinasoma kama word? au me ndo sijakuelewa hapa..NAOMBENI MSAADA WAKUU.
Natanguliza shukrani.
Habari ya Weekend?
Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5.
Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana.
NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA.
Kufika home kwenye PC naweka movie Files zinaonekana lakini movie haziplay.
Files za Words zinasomeka
Files za nyimbo zinaplay.
CHANGAMOTO IPO KWENYE MOVIE KU PLAY.
Naamini hapa nitapata msaada wakuu.[emoji120][emoji120]
Movies zako zinasoma extension gani? mkv, mp4, vod n.k? Kuna app utakua umeiset kuzifungua as a default, umesema zinasoma kama word? au me ndo sijakuelewa hapa..
Inaweza kua shida sio flash. Bytha jaribu ku open then open with chagua VLC au media player yoyote yenye uko nayo uone kama hazitoplayNimechukua tu kwa Flash mkuu.
Nadhani zinasoma kama words.
Ila nahisi TATIZO ni Flash