tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
Kwanza kwanini wewe hujatumia jina halali na hujaweka picha yako halisi? Maana huenda jibu unalo ila unatuletea usumbufu tu hapaSalam kwenu.
Naomba kufahamu kwanini jf inawatumiaji wengi ambao majina ya id zao niyautata? Nahawaweki picha zao. Maana ukienda Facebook au Instagram unakuta jina halisi lamtu napicha yake halisi. Lakini huku jf nitofauti. Nataka kujuzwa kwanini. Nataraji majibu sahihi nasimatusi.
Najaribu kukuelewaThe home of great thinker!
Wewe hiyo avatar na I'd ni halisi?
Kama hujui,kwanini usingeweka sura yako hapo?
Huo pia nimsaada sababu nataka kujua.hivi unayajua mambo ya kuomba msaada kweli,acha kuutumia muda wako vibaya,hayo maswali rudi nayo facebook...
Nataka kujua maana yake kabla sijaamua kuwekaTukuulize wewe kwanza, kwanini hujaweka sura yako na picha yako halisi. Ukijibu nasi tutatoa majibu.
Ukitaka kujua inabidi ujifunze kutoka kwawanaojuaKwa nini wewe umeweka jina na vatar yenye utata?
Sio lazima ujibuKwanza kwanini wewe hujatumia jina halali na hujaweka picha yako halisi? Maana huenda jibu unalo ila unatuletea usumbufu tu hapa
Kama huu nimtandao wakiutuuzima niupi wakitoto? Mkuu unaelewa unachokisemaushasema huko fb na ig...kila sehemu kuna taratibu na sheria zake.huu mtandao wa kiutuuzima sana.....
Kidogo umejitahidi kunijibuKwa sababu huku ni jamiiforum.
[emoji23] [emoji23] mkuu huko nilishapita mdaMkuu naona machungu ya pepa la form six umeyahamishia huku,,, hongera kwa kumaliza shule lakni…!!
[emoji23] [emoji23]Kwa sababu hii ni kama whistle blowing website.
Kwa hiyo kujibidiisha kusema mabaya ya serikali wakati ukianika sura yako hewani, wataku-ulimboka.......