Msaada Ndugu zangu.

Kuna watu wanajitoaga ufahamu kweeeli....
 
Kama huu nimtandao wakiutuuzima niupi wakitoto? Mkuu unaelewa unachokisema
sasa unataka kujuzwa afu unabisha,na ukiendlea na ubish wako huu utapgwa ban,ama kurudish uko ig ulikotoka.
mitandao ya kitoto ni ile watu wanajianika,kw public kwa vitu au watu wanaowamiliki.sasa hujaona iyo tofaut,ya uku na uko ig? au unachobish nin.afu marufuk kunijibu kam ulvyonijibu juu hapo.
 
Huwezi kunipangia chakuandika. [emoji35] marufuku kunitisha.
 
Tuanze na wewe unatumia jina halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…