Msaada ndugu zangu,

Msaada ndugu zangu,

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Kiganja changu cha mkono huwa kina kufa ganzi nikiwa nimelala,nimeenda hospitali nimepima kisukari cna,nimepewa dawa zakutumia lakin bado tatizo linaendelea.Naombeni jamani kwa yoyote anaye weza kunisaidia/ushauri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu.eliezar mlwafu Utasaidiwa kivipi wakati hujatueleza kuwa wewe Mwanamke au Mwanamme? una umri wa miaka mingapi? umeshatumia Dawa gani? Daktari amekwambia kitu gani kuhusu hicho kiganja chako kufa ganzi? unaumwa na kufa ganzi kiganja chako kwa muda gani?jibu hayo upewe dawa. asante.
 
Nimetumia Neurobin,mimi ni ME nina miaka 26,nimeanza kusumbuliwa kalibia miezi 3,mara ya mwisha nimeambiwa nifanye X-RAY ya shingo,hivi nimesha fanya bado cjapewa majibu,Ndiomaana. Kikaomba ushauri,

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom