Kwa wale ambao mna elewa nisaidieni.Nina vutiwa na ile kazi ya viwandani kama ya Alcohol &beverage production.Kwa sasa ndio malengo yangu na nina chukua michepuo ya science,nauliza hivi endapo ntafaulu vizuri ni kitugani husomwa chuokikuu kwa ngazi ya degree na masters.Nikiwa na maana fani,msaada naombeni.