Inavyoonekana huyo mkaka hajacontrol diabetes yake later complications za diabetes ni kutokuona kwasababu sukari inaharibu mishipa midgo ya damu ya macho na nerves.Inabidi achekiwe sukari yake vipimo na kama bado mwili unatengeneza insulin japo ya kiwango kidogo,kwasababu complication nyingine ya DIABETES TYPE II ni kwamba pancreas inaweza ikaacha kabisa kutengeneza insulin kwahio inabidi apatiwe matibabu ya DIABETES TYPE I ambao wanatemegea kuchoma sindano za insulin kama replacement.Matibabu ya diabetes type I na II ni tofauti.
Kuhusu high blood pressure namshauri aende kwa daktari apatiwe tiba ya aidha betablocks,diuretics,ACE-inhibitors au Calsium antagonists au combination ya groups mbili nilizotaja...