Joasi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 766
- 674
Habari za ahsubuhi ndugu wa jf naomba msaada jamani,mama yangu ni diabetic mellitus kwa mkaka 12 sasa na kwa sasa amepata Eyes problems yaani Haoni mbele also Ana high blood pressure ina range from 190/110 mmHg.naomba ushauri wa nini kifanyike na tulimpeleka CCBRT kwaajili ya Eyes then wakaturudisha maana pressure ilikuwa juu sana...
OMBI :
Naomba msaada wa kimaarifa na drugs na nini kifanyike please tusaidie juu ya hili .Asante.
OMBI :
Naomba msaada wa kimaarifa na drugs na nini kifanyike please tusaidie juu ya hili .Asante.