Msaada ndugu zangu

Msaada ndugu zangu

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
739
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita ni mwanaume, Nina tatizo la kiafya ambalo linanisumbua kwa zaidi ya miaka 6 sasa.

Sasa hivi nina miaka 19, yaani ni kwenye ngozi yangu ya uso kuna ungaunga flani hunitokea kila wakati.

Mwanzo nlikuwa napakaa tube ya elyvate nilivyomaliza tu ikajirudia tena hali ile ile ambapo ngozi nahisi ka inajivuta vile baadae nkaanza kutumia medivin, Getrison sasa hv natumia Sonadem kama mafuta angu ya uso kwani nikiiacha tu ngozi inatokewa na chunusi na harara nyingi.

Sasa Sonadem imeniathiri kwani nimekuwa mweupe ka nimejichubua na nina mabaka meusi.

Nisaidieni wadau nitumie dawa gani ambayo itarudisha ngozi yangu ya uso sawa.
 
Ushauri mzuri ni ule utakaopata mara baada ya daktari kukuona uso kwa uso, nadhani ni vizuri uende hospitali ya karibu.
 
pole sana
nadhan wewe ulikuwa na mmba, ndo mana ukawa unapaka hayo madawa.
Gentrisone ndo kabisaa ilikuongezea huo mmba.

kwasasa nenda hosp manake tiba za ngozi ya uso ni ngumu sana na nhutegemea pia ni uso aina gani na umepakwa nn na unakula nini.

kunazo home remedy kwaajili ya magonjwa kama hayo lkn pia kuna dawa mbadala kwa ajili ya magonjwa haya. Kama unaish DSM nenda muhimbili ITM wee ulizia ivyo ivyo afu uliza wanakouza dawa apo ITM waone watakupa dawa za kukusaidia
 
Asanteni wadau mimi nipo moshi ntajitahidi nifate ushauri wenu..baada ya kutumia sonadem ndo uso umekuwa hivi wadau
 

Attachments

  • 1433756844748.jpg
    1433756844748.jpg
    34.1 KB · Views: 160
pole sana kama walivyoshauri wengine nenda hospital watakusaidia. kama ikishindikana ntafute ntakupa ushauri wa bure baada ya kukuona ulivyo sasa au nipigie kwa +255 689 417472
 
Back
Top Bottom