Habari zenu. Ukiachana na neno KIFO na USINGIZI FOFOFO, je ni neno gani lingine la kiswahili linaloishia na irabu FO? Kwa yeyote anayefahamu tafadhali.
Kiswahili maneno yake yote yanaishia na herufi 'A, E, I , O, U' yaani a,e,i,o,u. Hivyo kupata neno la Kiswahili linaloishia na herufi F & O yaani ''...fo'' ni rahisi kama wachangiaji waliotangulia hapo juu waliotupatia neno 'fofofo', 'kifo' n.k. Tazama kwa umakini maneno yote niliyoandika katika sentensi hii na iliyotangulia maneno yote yanaishia na ''a,e,i,o,u.
Habari zenu. Ukiachana na neno KIFO na USINGIZI FOFOFO, je ni neno gani lingine la kiswahili linaloishia na irabu FO? Kwa yeyote anayefahamu tafadhali.