Msaada: Neno la kiswahili linaloishia na (FO)

Msaada: Neno la kiswahili linaloishia na (FO)

JambaziSugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
245
Reaction score
210
Habari zenu. Ukiachana na neno KIFO na USINGIZI FOFOFO, je ni neno gani lingine la kiswahili linaloishia na irabu FO? Kwa yeyote anayefahamu tafadhali.
 
Kiswahili maneno yake yote yanaishia na herufi 'A, E, I , O, U' yaani a,e,i,o,u. Hivyo kupata neno la Kiswahili linaloishia na herufi F & O yaani ''...fo'' ni rahisi kama wachangiaji waliotangulia hapo juu waliotupatia neno 'fofofo', 'kifo' n.k. Tazama kwa umakini maneno yote niliyoandika katika sentensi hii na iliyotangulia maneno yote yanaishia na ''a,e,i,o,u.
 
Kwa kweli, natafuta nakosa neno lingine......sidhani kama litakuwepo. Lakini Ngoja wana jamvi waje zaidi
 
Hizi Ndo Topic walau zina uzalendo, zinakupa kufikiri, zinariadha kidogo nakipunguza mtindio wa mawazo...

ahsante sana Mjanja Wa Town

Turudi kwenye topic

Loading...
................


Dah Nimeshindwa mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom