Huyo ng'ombe ana stress, mbadilishie mazingira.Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level
All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy?
Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
pole sana mkuu,kuna mambo kadhaa ya kuangaliaMadaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level
All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy?
Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
ana mimba ya miezi 6pole sana mkuu,kuna mambo kadhaa ya kuangalia
1. magonjwa
angalia au pima joto lake la mwili,lisizidi nyuzi joto 38
pia angalia mwonekano wake kwa ujumla,kama ana dalili yoyote kama manyoya ya mwili kusimama,
pua yake kukauka yaani haina jasho, je anacheua?
2. Huenda ameingia kwenye joto anahitaji dume
pia stress kwa mnyama.
na mengine
ASANTE NIMEIPATAPole sana mkuu, kama bado hujapata suluhisho nitakutumia namba PM ya vet doctor aliyebobea umcheki atakusaidia ushauri.
Mkuu kwa sasa mpambanie apone kwanza maziwa baadaye badala ya kumpoteza.ana mimba ya miezi 6
Nimempa OCT 30%
anaonekana mchangamfu sasa
TATIZO SASA: MAZIWA YANAKATIKA UKICHEMSHA NA ANATOA ASUBHI TU JIONI ZERO KABISA
Anakamuliwa na mtu mmoja tu. Tunatimiza ufugaji borà kwa kufuata masharti. Lishe nzuri pumba+mashudu+ madini + nacl+ lukina+ maganda ya ndizi/viazi etc.mchanganyiko huo kwa ratio ya advise from wataalamu na vitabu online.Ukiona ng'ombe maziwa hatoi jua hayupo comfortable, anabadilishiwa hovyo watu wa kumkamua na inampa discomfort anakuwa na wasi wasi.
Au mlimnyang'anya ndama wake kwa nguvu hakupenda.
Nani huwa anamkamua kwa kawaida? [emoji848]
Sasa tengeza utaratibu mtu wa kumkamua awe huyo huyo au wawe wawili anae wazoea na kuwajua kwa harufu, sauti na mguso wa chuchu zake.
Wawe wanampa pumba laini, na maji na kumshikashika kwa upendo atawapenda atatoa maziwa mengi sana.
Ndigana ipi??ndigana Kali au ndigana baridiAnakamuliwa na mtu mmoja tu. Tunatimiza ufugaji borà kwa kufuata masharti. Lishe nzuri pumba+mashudu+ madini + nacl+ lukina+ maganda ya ndizi/viazi etc.mchanganyiko huo kwa ratio ya advise from wataalamu na vitabu online.
All in all nimegundua alikuwa na ndigana . Kijana alikuwa haniambii maana nilikuwa na udhuru. After 30% oct trewatment amepona now she is regaining. Asante kwa ushauri mzuri.
siwezi kujua maana alikuwa vaccinated against ndigana kali. Ukisha fanya vaccination, severity ya ndigana kali inakuwa reduced almos to zero, inakuwepo remtely! If managed at early time it is curable by a single injection. Nilitumia 30% OCT akapona! Mfanyakazi mpuuzi mkubwa alikuwa hawaogeshi bladifaken bastardNdigana ipi??ndigana Kali au ndigana baridi
Ndigana kama nilivosema zipo mbili Kali na baridi,ndigana Kali ni East coast fever Kwa lugha ya kitasha/kitaalamu na ndigana baridi ni Anaplasmosissiwezi kujua maana alikuwa vaccinated against ndigana kali. Ukisha fanya vaccination, severity ya ndigana kali inakuwa reduced almos to zero, inakuwepo remtely! If managed at early time it is curable by a single injection. Nilitumia 30% OCT akapona! Mfanyakazi mpuuzi mkubwa alikuwa hawaogeshi bladifaken bastard
asate tena kwa ushauri na kujali. Leo ni jumamosi nakwenda kusimamia kuogeshwa mwenyewe.Ndigana kama nilivosema zipo mbili Kali na baridi,ndigana Kali ni East coast fever Kwa lugha ya kitasha/kitaalamu na ndigana baridi ni Anaplasmosis
Kama huyo ng'ombe amepona baada ya administration ya tetracycline basi condition ya ugonjwa haikuwa kwenye severe stage,ambapo mara nyingi matumizi ya dawa kama buparvaquone huwa involved
Yote Kwa yote Vizuri kama umelitambua kosa lako lililosababisha ugonjwa Kwa ng'ombe maana usafi ni muhimu Kwa ng'ombe Kwa ajili ya kuzuia kupe ,maana hao ndo hubeba na kusambaza vimelea vya ndigana zote yaani Kali na baridi.
Kama ni una shamba ni vizuri uwe na dipping station(josho) hata kama ni ndogo na ya kawaida ,Kwa sababu Kwa dipping station ni vizuri zaidi Kwa kuondoa kupe na wadudu wengine,kwani ng'ombe huwa anazama mwili mzima kwenye maji yaliyochanganywa na acaricide(dawa ya kuulia wadudu)asate tena kwa ushauri na kujali. Leo ni jumamosi nakwenda kusimamia kuogeshwa mwenyewe.
Nina shamba, lkn cost za dipping station nadhani ni kubwa. Nitajaribu, ni wazo zuri sana. majosho kama hayo yalikuwa yametapakaa kote nchini wakati tunapata uhuru. Waswahili wakayaua!Kama ni una shamba ni vizuri uwe na dipping station(josho) hata kama ni ndogo na ya kawaida ,Kwa sababu Kwa dipping station ni vizuri zaidi Kwa kuondoa kupe na wadudu wengine,kwani ng'ombe huwa anazama mwili mzima kwenye maji yaliyochanganywa na acaricide(dawa ya kuulia wadudu)