Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini

Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini

pole mzee, ila washauri wengi wanatoa mbinu za asili (kienyeji) wazijuazo, na utofauti ni mkubwa kila mtu anatumia vitu tofauti na maelekezo tofauti mpaka napata mashaka utatumia mbinu ipi au utajaribu zote?, risk pia zipo maana ngozi zinatofautiana response yake kwenye vitu mbalimbali inavyokutana navyo na pengine ikaharibika zaidi.
USHAURI WANGU nenda hospitali kubwa, tafuta daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi, huyo atakupima na kukutibu pamoja na kukupa ushauri na masharti ya kufuata.
 
Back
Top Bottom