Msaada: Nguruwe wanakataa kula chakula

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Habari wapedwa,

Nina nguruwe wangu wa 4 jike 1 dume 1 waliohasiwa 2. Majuzi nilikoboa mahindi ya mchanganyiko wa yaliyooza na mazima sababu nkishidwa kuyachambua kutokana na wingi

Baada ya kukoboa Yale mazima yakawa makande na Yale mabovu yakawa pumba nkapata pumba kama gunia 4 hiv

Nkachukua zile pumba za mahindi nkaenda kuchanganya na pumba za Michele gunia 2 na Poland 1

Cha kushangaza sasa wamegoma kabisa kula huo mchanganyiko cjui shida ni nin? Ila nahisi ni sababu ya ile pumba kuwa mahindi yake nliyoyakoboa yalikuwa yameoza so chakula kimekuwa hakiliki kabisa

Nijitahdi kuwachanganyia huko na magadi + chumvi ila WAP? Hawakitak kabisa
Naombeni msaada nifanye vip ili hii shehena ya chakula iweze kuliwa na hawa nguruwe?
 
Jaribu kuwapa chakula kingine tofauti na hicho kwanza, uone kama shida ni hizo pumba au wanaumwa!
 
Itakuwa wameamua kumaintain figure.
Huendi nao wanahisi chakula kina ladha mbaya
 
Kwani mkuu hujui kuwa sahivi ni Kwaresma? Labda wamefunga.
Uwa wote katupe jalalani hao wamechoka kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa wameamua kumaintain figure.
Huendi nao wanahisi chakula kina ladha mbaya
Chinja utuuzie walaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao fanya inshu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya jf ya 2014 rudi nyuma na hii ya sasa ni kwamba hii ya sasa imejaa upumbavu mwingi, utoto na ujinga na ile ya zamani ilijaa watu wenye akili na walio tayari kusaidia na sio kuleta utoto kwenye mambo ya msingi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usichukulie kila kitu serious sana. Samahani kama mchango wangu umekukwaza.
 
Nenda kwenye stick threads juu kabisa kwenye hili jukwaa utaona nyuzi ya dokta wa mifugo, mfwate pm mwombe msaada au la ngoja madokta wapite wakupe mwongozo.
 
Usichukulie maisha serious sana mkuu, watu wote wakiwa wenye akili dunia itaboa
 
Jaribu kupika wali Kama kilo 1 ule unaonukiaa sana, halafu uchuku kidogo huo wali, uuonyee usikilizie Kama unanukia fresh! Ukiona upo fresh, chukua mwiko wapakulie kiasi halafu changanya kwenye hizo pumba,,! Nakuhakikishia mkuu, watakula mpaka chombo Cha chakulaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguruwe wanakula kila kitu hata ukimtupia mzoga atakula tu
Hao wana Corona


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Duh utakuwa umevunja rekodi yaani umeweka mchanganyiko wa chakula ambacho hata nguruwe wamekataa kula! Tumia kijiko tu kuwalisha he he!! mkuu inaweza kuwa wana minyoo jaribu kuwapa dawa ya minyoo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…