Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Habari wapedwa,
Nina nguruwe wangu wa 4 jike 1 dume 1 waliohasiwa 2. Majuzi nilikoboa mahindi ya mchanganyiko wa yaliyooza na mazima sababu nkishidwa kuyachambua kutokana na wingi
Baada ya kukoboa Yale mazima yakawa makande na Yale mabovu yakawa pumba nkapata pumba kama gunia 4 hiv
Nkachukua zile pumba za mahindi nkaenda kuchanganya na pumba za Michele gunia 2 na Poland 1
Cha kushangaza sasa wamegoma kabisa kula huo mchanganyiko cjui shida ni nin? Ila nahisi ni sababu ya ile pumba kuwa mahindi yake nliyoyakoboa yalikuwa yameoza so chakula kimekuwa hakiliki kabisa
Nijitahdi kuwachanganyia huko na magadi + chumvi ila WAP? Hawakitak kabisa
Naombeni msaada nifanye vip ili hii shehena ya chakula iweze kuliwa na hawa nguruwe?