steve_shemej JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,175 Reaction score 1,588 Mar 30, 2020 #1 Natamani nijue aina gani ya blog ambayo ni lazima kujisajili TCRA, najua wajuzi mpo. Nahitaji maelezo machache ndugu zangu Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani nijue aina gani ya blog ambayo ni lazima kujisajili TCRA, najua wajuzi mpo. Nahitaji maelezo machache ndugu zangu Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Mar 30, 2020 #2 Yoyote. Ila zaidi inatakiwa ile inayoandika maudhui yenye mlengo wa HABARI na MATUKIO ya kila siku.
steve_shemej JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,175 Reaction score 1,588 Mar 31, 2020 Thread starter #3 Mkaruka said: Yoyote. Ila zaidi inatakiwa ile inayoandika maudhui yenye mlengo wa HABARI na MATUKIO ya kila siku. Click to expand... Inamaana hata blog za nyimbo unatakiwa kujisajili? Maaan nimeangalia kwenye blog zilizo sajiliwa blog za nyimbo sijaiona hata moja Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaruka said: Yoyote. Ila zaidi inatakiwa ile inayoandika maudhui yenye mlengo wa HABARI na MATUKIO ya kila siku. Click to expand... Inamaana hata blog za nyimbo unatakiwa kujisajili? Maaan nimeangalia kwenye blog zilizo sajiliwa blog za nyimbo sijaiona hata moja Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,629 Reaction score 34,199 Mar 31, 2020 #4 Mkuu steve_shemej ! Ukienda kusajili blog ya aina yoyote TCRA hawakatai ( maana ni chanzo kingine cha mapato kwao ' kumbuka kuna kutoa gawio' ) Ila kama huna pesa, wewe fungua tu kibishi usije ukafa na ndoto yako kwasababu ya tawala za kijinga jinga za Afrika. Hii Nchi ni ya k i s e n g e sana.
Mkuu steve_shemej ! Ukienda kusajili blog ya aina yoyote TCRA hawakatai ( maana ni chanzo kingine cha mapato kwao ' kumbuka kuna kutoa gawio' ) Ila kama huna pesa, wewe fungua tu kibishi usije ukafa na ndoto yako kwasababu ya tawala za kijinga jinga za Afrika. Hii Nchi ni ya k i s e n g e sana.