Msaada: Ni aina gani za blog ambazo lazima ujisajili TCRA?

Msaada: Ni aina gani za blog ambazo lazima ujisajili TCRA?

Yoyote.

Ila zaidi inatakiwa ile inayoandika maudhui yenye mlengo wa HABARI na MATUKIO ya kila siku.
 
Mkuu steve_shemej !

Ukienda kusajili blog ya aina yoyote TCRA hawakatai ( maana ni chanzo kingine cha mapato kwao ' kumbuka kuna kutoa gawio' )

Ila kama huna pesa, wewe fungua tu kibishi usije ukafa na ndoto yako kwasababu ya tawala za kijinga jinga za Afrika.

Hii Nchi ni ya k i s e n g e sana.
 
Back
Top Bottom