Msaada; NI BENKI GANI INAYOTOA HUDUMA YA POSTAL ORDER? ?

Msaada; NI BENKI GANI INAYOTOA HUDUMA YA POSTAL ORDER? ?

pachanya

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Posts
2,004
Reaction score
2,146
Ndugu wanajamvi kuna malipo nje ya nchi nataka kufanya kupitia njia YA POSTAL ORDER.
Nimejaribu benki za NBC,CRDB,KCB,TWIGA,EXIM Zote hawana huduma hii.Je ni benki gani naweza pata hii huduma??
Malipo ni kwa ajili ya Udahili Katika chuo flani nje ya nchi..
 
Chagua njia rahisi ku transfer pesa yako. Kwani hawana njia nyingine? Wasiliana nao wakushauri njia mbadala zilizopo bongo.
 
Back
Top Bottom