Ndugu wanajamvi kuna malipo nje ya nchi nataka kufanya kupitia njia YA POSTAL ORDER.
Nimejaribu benki za NBC,CRDB,KCB,TWIGA,EXIM Zote hawana huduma hii.Je ni benki gani naweza pata hii huduma??
Malipo ni kwa ajili ya Udahili Katika chuo flani nje ya nchi..