Kuna taratibu zake za kupewa.. sio buree kabisa kuna gharama unalipishwa ila ndogo tofauti na tvs za pay tv.. jiulize kwa nini ligi ya bongo inaoneshwa na azam sports channel.. ila caf champions league zinaoneshwa na zbc2 only.... na timu za Tanzania zikitolewa tu caf inaishia hapo hapo.. mfano nusu fainali simba hayupo.. utaona kama azam ataonesha mechi.. ila dstv yeye anaonesha kila mechi bila kujali timuza nchi gani
Hapana mkuu hata zikitolewa timu za tanzania, bado ZBC2 itaendelea kuonesha mashindano ya CAF champions league na CAF confederation kama kawaida mpaka fainali. Kumbuka msimu uliopita na pia hata msimu huu tayari waneshatoa tangazo za mechi zinazofuata kati Es Tunis dhidi ya Al Ahly siku ya jumamosi.

Tangu Euro ianze naona mechi zote kupitia FTA channels. MaDish ya dstv na Azam ndio nayatumia kwenye smart TV yenye inbuilt decoder. Ving'amuzi vyao nimeweka kabatini kwanza

Unachotakiwa kuwa nacho ni FTA Decoder ambazo hukamata channels za bure toka satellite mbalimbali zilizopo angani au unaweza pia kuwa na TV yenye decoder ndani ( Inbuilt decoder). Flat smart TV nyingi sasa hivi zina hicho kisimbuzi cha ndani ya tv, ila wachache huweza kung'amua.
Tafuta dish aidha ya prime focus/Ku-band (yanayotumiwa na kampuni za tv za malipo kama Azam, Dstv,Startimes, likiwa kubwa/Pana Ni vizuri zaidi) au yale ya offset. Kisha angalia uwepo wa mawimbi ya satellite yaliyopatikana katika eneo unaloishi. Kwa mfano Kanda ya ziwa, baadhi ya mikoa ya Katavi,Rukwa,Tabora,Kigoma,Shinyanga wanaweza kunasa kwa kutumia dish la cm 60 (yale ya Dstv au Azam saizi ya kati au kubwa)kupitia satellites za Astra 28.2 East ambazo mawimbi yake yanafika mikoa hiyo. Humo kuna tv za Joy prime na Adom wanaonyesha. Kule Nyanda za juu kusini wanaweza kukamata Eutelsat 16°.
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi. Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele...

Tv inayo built in decorder ila channel kwenye list ni za startimes na pia zimekuwa scrambled naambiwa mpaka niwe na cam card. Au kila kampuni inatengeza aina yake ya decoder?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.