Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

Tv inayo built in decorder ila channel kwenye list ni za startimes na pia zimekuwa scrambled naambiwa mpaka niwe na cam card. Au kila kampuni inatengeza aina yake ya decoder?
Startimes ni television ya malipo sio fta. Hivyo list ya tv zote kwenye Chanel yake zimfungwa ( scrambled). Upo wapilMkoa gani?
 
Azam wajinga tu, wanashindwa kununua kurusha hii league, hata watuambie kununua kifulushi special.
 
Azam mjanja hataki gharama za kununua mechi zote kama dstv ama espn anatumia zbc2 kupewa mechi kiurahisi... zbc inasomeka kama tv ya taifa zanzibar.. azam anatumia mbinu ya kupewa mechi kama tv ya taifa.. sasa mara nyingi tv ya taifa haipewi mechi zotee.. unapewa chache tu
TBC imepewa mechi gani? Japo nimewahi ona baadhi ya mechi za epl
 
Back
Top Bottom