MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

Bzero

Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
86
Reaction score
180
Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
 
Kama ni ujuzi University of YouTube, kama ni cheti nadhani hata CoICT
 
Back
Top Bottom