niomi
Member
- Jan 7, 2025
- 5
- 8
Habari zenu wana JamiiForums.
Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali,
Leo nahitaji maoni yenu kwa wale(wanaume) walioamua kuwapiga chini wapenzi wao wa muda mrefu waliokuwa wamepanga mipango na kuahidiana mambo mengi lakini kwa bahati mbaya hawakufikia malengo kwa sababu tofauti tofauti waliwezaje au walitumia mbinu gani pale walipoamua kuwapiga chini mademu zao halafu hao mademu wakawa wanawazungumzia vibaya kwa watu?
Walichukua maamuzi gani dhidi yao?