Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Mkuu nataka ku install Windows kwenye mini-laptop ambayo haina sehemu ya kuweka CD, hakuna alternative nyingine tafadhali?!Kama hutak shida burn hiyo image kweny cd kisha anza upya..hiyo error itakua fixed 100%
Jarbu kuchange port,pia ikiwezekana badil flashMkuu nataka ku install Windows kwenye mini-laptop ambayo haina sehemu ya kuweka CD, hakuna alternative nyingine tafadhali?!
Shukran Sana mkuu [emoji1545]Jarbu kuchange port,pia ikiwezekana badil flash
Shukran mkuu, Hii mini laptop yangu haina antivirusUnapo create bootable hakikisha huirudish tena iyo flash kwenye pc maana ant virus hutafuna baadhi ya file na bootble ku kushindwa kufikia mwisho hivyo unapata error.
kama ni CD hakikisha ulipokua unaiwekea bootable umeweka tick kwenye ku verify
Nilitumia Power Iso mkuuUmetumia software gani ku.create hiyo bootable image, Kama ni "rufus" achana nayo tumia "power iso"
Basi tatzo hapo itakuwa kwa % kubwa ni flash(may be in virus) Kama sio basi hyo window uliodownload, Mimi nishawahi download windows mara nyingi tu na website nayotumiaga kudownload ni "get into pc"Nilitumia Power Iso mkuu
Sasa Kama harddisk ndio Ina tatizo, Kwanini ukihamishia kwenye PC nyingine itakubali?!Shida hapo ni hard disk zinashindwa kuonekana, tatizo kama hilo huwa na save kwa kuhamisha harddisk kwenda kwenye pc nyingine kisha ndo napiga window huko huko.
Mkuu Nina uhakika flash haina virusi na windows nili download kutoka MicrosoftBasi tatzo hapo itakuwa kwa % kubwa ni flash(may be in virus) Kama sio basi hyo window uliodownload, Mimi nishawahi download windows mara nyingi tu na website nayotumiaga kudownload ni "get into pc"
Inshu itakuwa hard disk sasaMkuu Nina uhakika flash haina virusi na windows nili download kutoka Microsoft
Samahani, na solve vip Hilo tatizo maana ndio Mara yangu ya kwanza ku install Windows?!Inshu itakuwa hard disk sasa
Sasa Kama harddisk ndio Ina tatizo, Kwanini ukihamishia kwenye PC nyingine itakubali?!
AhsanteBadilisha window nyingine, pc zingine huwa zinazingua window
PC yako ni generation gani, ulikuwa una.install windows 7 au?.Samahani, na solve vip Hilo tatizo maana ndio Mara yangu ya kwanza ku install Windows?!
Ni Toshiba NB500. Nilikuwa na install Windows 8.1PC yako ni generation gani, ulikuwa una.install windows 7 au?.
Inshu ya hard disk kwa ufahamu wangu ikizingua hivyo ni kujiandaa kununua hard drive mpya
NB series hizo nyingi ni 4th generation mkuu huwa zinasumbua windows 8 na 10, jaribu hapo windows 7 liteNi Toshiba NB500. Nilikuwa na install Windows 8.1