Msaada: Ni Mara yangu ya kwanza ku install Windows, nimekwama

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Wakuu samahani, Ni Mara yangu ya kwanza ku install Windows, nimeweza ku download na ku created bootable flash drive. Sasa kwenye ku install Windows imegoma inaniletea notification Kama inavyoonekana katikati picture.

IMG_20201123_110700_137.jpg

Msaada wenu tafadhali, je, anamaanisha Nini apo?
 
Kama hutak shida burn hiyo image kweny cd kisha anza upya..hiyo error itakua fixed 100%
 
Mkuu nataka ku install Windows kwenye mini-laptop ambayo haina sehemu ya kuweka CD, hakuna alternative nyingine tafadhali?!
 
Jarbu kuchange port,pia ikiwezekana badil flash
 
Unapo create bootable hakikisha huirudish tena iyo flash kwenye pc maana ant virus hutafuna baadhi ya file na bootble ku kushindwa kufikia mwisho hivyo unapata error.

kama ni CD hakikisha ulipokua unaiwekea bootable umeweka tick kwenye ku verify
 
Umetumia software gani ku.create hiyo bootable image, Kama ni "rufus" achana nayo tumia "power iso"
 
Unapo create bootable hakikisha huirudish tena iyo flash kwenye pc maana ant virus hutafuna baadhi ya file na bootble ku kushindwa kufikia mwisho hivyo unapata error.

kama ni CD hakikisha ulipokua unaiwekea bootable umeweka tick kwenye ku verify
Shukran mkuu, Hii mini laptop yangu haina antivirus
 
Shida hapo ni hard disk zinashindwa kuonekana, tatizo kama hilo huwa na save kwa kuhamisha harddisk kwenda kwenye pc nyingine kisha ndo napiga window huko huko.
 
Nilitumia Power Iso mkuu
Basi tatzo hapo itakuwa kwa % kubwa ni flash(may be in virus) Kama sio basi hyo window uliodownload, Mimi nishawahi download windows mara nyingi tu na website nayotumiaga kudownload ni "get into pc"
 
Shida hapo ni hard disk zinashindwa kuonekana, tatizo kama hilo huwa na save kwa kuhamisha harddisk kwenda kwenye pc nyingine kisha ndo napiga window huko huko.
Sasa Kama harddisk ndio Ina tatizo, Kwanini ukihamishia kwenye PC nyingine itakubali?!
 
Basi tatzo hapo itakuwa kwa % kubwa ni flash(may be in virus) Kama sio basi hyo window uliodownload, Mimi nishawahi download windows mara nyingi tu na website nayotumiaga kudownload ni "get into pc"
Mkuu Nina uhakika flash haina virusi na windows nili download kutoka Microsoft
 
Samahani, na solve vip Hilo tatizo maana ndio Mara yangu ya kwanza ku install Windows?!
PC yako ni generation gani, ulikuwa una.install windows 7 au?.

Inshu ya hard disk kwa ufahamu wangu ikizingua hivyo ni kujiandaa kununua hard drive mpya
 
Ni Toshiba NB500. Nilikuwa na install Windows 8.1
 
Back
Top Bottom