Lini usahili umewahifanyika,ili hao waliofanya wakupe experience?
Mkuu uko nje ya nchi nini?
Maana mi ndo kwa mara ya kwanza nasikia kuhusu usability,si mwaka jana wala mwaka juzi,watu wamefanya usahili
Elewa "maswali gani hupendelewa kuulizwa kwenye usaili kada ya ualimu". Wapo walimu waanajiriwa taasisi binafsi saili zinafanyika kila wakati. Sasa kwa wale ambao wameshawahi kupita huko ABC wanazijua. Hizo ndio tunazitaka sasa ili kwa wale watakao fanikiwa kuitwa wapate sehemu ya kuanzia.Lini usahili umewahifanyika,ili hao waliofanya wakupe experience?
Mkuu uko nje ya nchi nini?
Maana mi ndo kwa mara ya kwanza nasikia kuhusu usability,si mwaka jana wala mwaka juzi,watu wamefanya usahili.
Maswali yapo katika makundi MatanoHabari za jioni mjamvi?
Habari za leo waungwana?
Siku ya tarehe 20 julai 2024, Tamisemi kupitia Utumishi walitangaza ajira za ualimu kwa ngazi za astashahada, stashahada, shahada na "postgraduate" zaidi ya 11,000. Sasa zoezi la kutuma maombi likiwa linaendelea, napenda kujua ni maswali gani hupendelewa kuulizwa kwenye usaili wa kada ya ualimu kwa ngazi zote?
Ahsante.
Pia kwa wale wa ngazi ya degreee wakapitieeMaswali yapo katika makundi Matano
1. Maswali ya kuhusu masomo ya kufundishia uliyosomea mfano Kemia, Fizikia n.k. hapo unapaswa kupitia mihtasari (Syllabus) za masomo yako
2. Maswali kuhusu Mbinu za kufundishia (methodolody) ujue mbinu za Kisasa za uandaaji na ufundhaji wa masomo uliyobobea
3. Maswali kuhusu Sera ya Elimu na mitaala kwa ijumaa
4. Maswali ya jumla kupima uelewa wako katika kada ya Ualimu. Changamoto mashuleni na uwezo wako kukabiliana nayo.
5. Maswali kuhusu wewe binafsi mfano jina, umri, Historia yako kielimu na lengo na madhumuni kusomea Ualimu na matarajio yako
AsantePia kwa wale wa ngazi ya degreee wakapitiee
1.Education assessment and evaluation
2.Professionalism and ethics in education
3.counsselling and special needs and education.
4.Curriculum development and evaluation.
6. Uwe vizuri kwenye massomo yako ya kufundisha japo hii ipo kwenye oral
5.Education media and technology.
NB: waombaji ni wengi na nafasi ni chache kwa hiyo tegemeaa mitihani ambayo itakuwa migumu ili kuchuja watu pia mitihani ya utumishi haitabiriki ilaa kamaupo smart kichwani kutoboa kama umejianda ni rahisi