Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

Tumia wall putty, white skim ni nzuri zaidi. Na kama bado hujapata fundi karibu tukuhudumie kwa finishing yenye ubora.
Gharama zake kama nyumba basi hata rough haijapigwa maana natindua mfumo wa umeme na maji.

Kuanzia hapo skimming itakuwa na gharama zip?
 
Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
Usitumie gypsum putty ya aina yoyote, tumia coral decor. Ukipaka umepaka, ni rahisi 24k kwa mfuko wa 25kg, haivimbi, hakuna kusugua ukuta au kipiga primer wala nini.
Tumia nje na ndani. Una swali?
 
Mkuu coral decor naweza pata wapi Dodoma mjin
 
Mimi niko moshi, ila decor huwa nanunua kwa mhindi hapa ambaye ni ajenti wa coral. Nafikiri hata dodoma agent wa decor atakuwepo huko, jaribu kuulizia kwenye maduka ya hardware. Nitaweka namba ya coral hapa.
 
Sawa mkuu naomba namba zao
 
Usitumie gypsum putty ya aina yoyote, tumia coral decor. Ukipaka umepaka, ni rahisi 24k kwa mfuko wa 25kg, haivimbi, hakuna kusugua ukuta au kipiga primer wala nini.
Tumia nje na ndani. Una swali?
Inaonekana haipatikani kwa urahisi, ni product mpya ama ya zamani? Ama ni mafundi hawajui kuitumia? Kwa maana nilikuwa ninataka ku-skim, nilitafuta mafundi kama wanne hivi, hakuna aliyenitajia hiyo kitu., hata dukani nilipoenda, nilizunguka kama matano hivi, hakuna duka nililotajiwa hiyo bidhaa.,
 
Ipo madukani zaidi ya mwaka sasa. Ni kwa sababu mafundi wetu hawa wamekariri gypsum wall puty hawabadiliki.
Uko mkoa gani nikupe namba yao simu?
 
Back
Top Bottom