Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

Ipo madukani zaidi ya mwaka sasa. Ni kwa sababu mafundi wetu hawa wamekariri gypsum wall puty hawabadiliki.
Uko mkoa gani nikupe namba yao simu?
Boss naomba uniambie faida ya kutumia decor coral pia uwezo wake wa kupambana na ukungu kama ilivyo wall putt.
Ikikupendeza tuambie na hasara ya kutumia decor plaster
 
1. Hakuna kupaka ukuta primer /binder
2. Inadumu muda mrefu kuliko wall puty (WP)
3. Bei yake haitofautiani sana na WP: 22k v 24k (coral decor) na ni rahisi mara kumi ya minat decor
4.Hakuna cha fungus kwa ukuta ukipaka coral decor (CD) kwa kuwa hainyonyi maji
5. Inapendezesha na kuongeza thamani ya mjengo wako
6. Hurudii rudii kupaka rangi kama WP
7. Haivimbi kwa maji au mvua

Hasara
Usipake CD kama mjengo wako umejengwa ovyo ovyo.
 
Nimependa maelezo YAKO!!Yamejitosheleza MNO!!
KAZI ni kipimo cha UTU
 
1. Hakuna kupaka ukuta primer /binder
2. Inadumu muda mrefu kuliko wall puty (WP)
3. Bei yake haitofautiani sana na WP: 22k v 24k (coral decor) na ni rahisi mara kumi ya minat decor
4.Hakuna cha fungus kwa ukuta ukipaka coral decor (CD) kwa kuwa hainyonyi maji
5. Inapendezesha na kuongeza thamani ya mjengo wako
6. Hurudii rudii kupaka rangi kama WP
7. Haivimbi kwa maji au mvua

Hasara
Usipake CD kama mjengo wako umejengwa ovyo ovyo.
Nashukuru sana mkuu,umeni(tu)pa elimu ya kutosha sana.
Kwa ushauri na uzoefu wako ni decor ipi nzuri na Ina bei za hali ya kawaida Kati ya decor ya yapfix, coral,conamix etc?
 
Usitumie gypsum putty ya aina yoyote, tumia coral decor. Ukipaka umepaka, ni rahisi 24k kwa mfuko wa 25kg, haivimbi, hakuna kusugua ukuta au kipiga primer wala nini.
Tumia nje na ndani. Una swali?
Thankss Nilisahau jina, nilishauriwa hii pia.
 
Gharama zake kama nyumba basi hata rough haijapigwa maana natindua mfumo wa umeme na maji.

Kuanzia hapo skimming itakuwa na gharama zip?
Gharama ya skimming inategemea
1. Fundi aliepiga plasta
2. Mchanga uliopiga plasta
3. Ukubwa WA vyumba na kuta
 
Gharama sahihi za skimming inategemea na ukubwa wa nyumba au vyumba, kwahiyo ni muhimu kutembelea site kufanya survey.
Upo sahihi mkuu maana makadilio ya kwenye picha ni tofaut na uwalisia ila tusiwavunje moyo wate acha tu waendelee kukutumia picha ili tuwape makadilia maana wengine huwa wanadhan gharama itakuwa kubwa zaid ndio maana anajalibu kuuliza kwa mafundi tofaut tofaut ili kujua service charge na meterial nivizur ila ila wawe wanatufikilia na sisi tunao wapa hesabu mana kwa muda huwa nakuwa nimeacha shughuli zangu na kuwanamsikiliza ni hilo mkuu inapaswa wateja wetu wajue
 
1. Hakuna kupaka ukuta primer /binder
2. Inadumu muda mrefu kuliko wall puty (WP)
3. Bei yake haitofautiani sana na WP: 22k v 24k (coral decor) na ni rahisi mara kumi ya minat decor
4.Hakuna cha fungus kwa ukuta ukipaka coral decor (CD) kwa kuwa hainyonyi maji
5. Inapendezesha na kuongeza thamani ya mjengo wako
6. Hurudii rudii kupaka rangi kama WP
7. Haivimbi kwa maji au mvua

Hasara
Usipake CD kama mjengo wako umejengwa ovyo ovyo.
Kiongozi hongera kwa maelezo yako yenye kuongeza maarifa,nina ujenzi wangu nataka niuendeleze hasa upande wa nje kufanya skim aluminium windows etc.

Naomba nisaidie kitu,fundi amenishauri nje kwenye kiuno cha msingi niweke tiles lengo kuepuka kadhia ya rangi kubanduka na ukungu ukutani,hii corol decor inaweza kusaidia?au kipi bora,kupiga tiles au ku-skim tu kawaida na hiyo corol?pia kama utakuwa na idea nisaidie kwa nini frame za aluminium wengi wametumia sana rangi nyeupe?rangi grey,black&wooden zina kasoro yoyote?

Project ipo Dar,shukrani
 
Skimming iliyowekwa maeneo ilimopita bomba la maji imeota fungus.ni materiel gani nitumie kuskimu upya. Naomba msaada
 
Kiongozi hongera kwa maelezo yako yenye kuongeza maarifa,nina ujenzi wangu nataka niuendeleze hasa upande wa nje kufanya skim aluminium windows etc.

Naomba nisaidie kitu,fundi amenishauri nje kwenye kiuno cha msingi niweke tiles lengo kuepuka kadhia ya rangi kubanduka na ukungu ukutani,hii corol decor inaweza kusaidia?au kipi bora,kupiga tiles au ku-skim tu kawaida na hiyo corol?pia kama utakuwa na idea nisaidie kwa nini frame za aluminium wengi wametumia sana rangi nyeupe?rangi grey,black&wooden zina kasoro yoyote?

Project ipo Dar,shukrani
Weka tiles kwenye kiuno kwa sababu ukiweka umeweka pia itakupa contrast nzuri kati ya ukuta na kiuno.
Kuhusu rangi ya aluminium profile, aluminium nyeupe ndiyo inatrend sana kwa sasa na inavutia sana ukiiweka kwenye nyumba yako na hasa ukiweka dirisha lako kwa mtindo wa draft.

Yote kwa yote , rangi ya aluminium profile inategemea na preference yako/ya mwenye mjengo
 
Back
Top Bottom