J joub Member Joined Feb 13, 2014 Posts 33 Reaction score 3 Feb 16, 2014 #1 Habar wadau wa ukanda huu,naomba mnijuze ni muda gan hasa mtoto hugeuka tumbon,na je zipi hua dalili ziashiriazo tukio hilo,msaada plz
Habar wadau wa ukanda huu,naomba mnijuze ni muda gan hasa mtoto hugeuka tumbon,na je zipi hua dalili ziashiriazo tukio hilo,msaada plz
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Feb 16, 2014 #2 joub said: Habar wadau wa ukanda huu,naomba mnijuze ni muda gan hasa mtoto hugeuka tumbon,na je zipi hua dalili ziashiriazo tukio hilo,msaada plz Click to expand... Title na ulichoandika ni vitu viwili tofauti kabisa!!! Kama unaweza nakushauri ubadili heading maana wengi watashindwa elewa..na utaishia kutopata msaada stahiki!!!
joub said: Habar wadau wa ukanda huu,naomba mnijuze ni muda gan hasa mtoto hugeuka tumbon,na je zipi hua dalili ziashiriazo tukio hilo,msaada plz Click to expand... Title na ulichoandika ni vitu viwili tofauti kabisa!!! Kama unaweza nakushauri ubadili heading maana wengi watashindwa elewa..na utaishia kutopata msaada stahiki!!!
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Feb 17, 2014 #3 Wiki ya 32/miezi 8, kipindi hiki mtoto anaanza kushuka chini kwenye pelvis na utakojoa sana kipindi hiki maana mtoto anapress kibofu.
Wiki ya 32/miezi 8, kipindi hiki mtoto anaanza kushuka chini kwenye pelvis na utakojoa sana kipindi hiki maana mtoto anapress kibofu.
J joub Member Joined Feb 13, 2014 Posts 33 Reaction score 3 Feb 17, 2014 Thread starter #4 Nimekupata DZU bt kuna dalili gan hujitokeza
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Feb 18, 2014 #5 joub said: Nimekupata DZU bt kuna dalili gan hujitokeza Click to expand... Nadhani nmeainisha hapo kwenye koment ya kwanza, iangalie vzuri.
joub said: Nimekupata DZU bt kuna dalili gan hujitokeza Click to expand... Nadhani nmeainisha hapo kwenye koment ya kwanza, iangalie vzuri.
K kassimbosco New Member Joined Feb 8, 2014 Posts 2 Reaction score 1 Mar 22, 2014 #6 Sawa ila vipi utajua kama mtoto tayari ameshageuka au uhesabu miezi tu na wiki?
Maysally Member Joined Dec 6, 2013 Posts 54 Reaction score 21 Mar 22, 2014 #7 Mara nyng tumbo linauma xana.kama unataka kuharisha haurishi kwakifupi utajua tu maana maumivu yake si mchezo.
Mara nyng tumbo linauma xana.kama unataka kuharisha haurishi kwakifupi utajua tu maana maumivu yake si mchezo.