Msaada: Ni muda gani mtoto hugeuka tumboni?

Msaada: Ni muda gani mtoto hugeuka tumboni?

joub

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
33
Reaction score
3
Habar wadau wa ukanda huu,naomba mnijuze ni muda gan hasa mtoto hugeuka tumbon,na je zipi hua dalili ziashiriazo tukio hilo,msaada plz
 
Habar wadau wa ukanda huu,naomba mnijuze ni muda gan hasa mtoto hugeuka tumbon,na je zipi hua dalili ziashiriazo tukio hilo,msaada plz

Title na ulichoandika ni vitu viwili tofauti kabisa!!! Kama unaweza nakushauri ubadili heading maana wengi watashindwa elewa..na utaishia kutopata msaada stahiki!!!
 
Nimekupata DZU bt kuna dalili gan hujitokeza
 
Mara nyng tumbo linauma xana.kama unataka kuharisha haurishi kwakifupi utajua tu maana maumivu yake si mchezo.
 
Back
Top Bottom