Msaada,ni nini suluhisho au ni dawa gani au mmea gani wa asili unaweza ikawa suluhisho la Urinary tract infection kujirudia rudia?

Msaada,ni nini suluhisho au ni dawa gani au mmea gani wa asili unaweza ikawa suluhisho la Urinary tract infection kujirudia rudia?

Kunguru wa Unguja

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
1,762
Reaction score
1,823
Habari ya muda huu ,natumai mmeamka salama yote anayewezesha kuwepo mpaka muda huu ni Mungu pekee.

Bila ya kwenda mbali, nimeamua kuandika huu uzi kwa lengo la kupata ushauri juu ya ugonjwa huu ambao umekua unajirudia sanaa kwangu pamoja na kutumia madawa kama Ceftriaxone, Ciprofloxacin, Azithromycin na Cephalexin na pia nimekunywa maji japo sio kwa 100% japo kipindi cha hapo majuzi, nilienda kupima wakakuta pus cell zimerange kwenye 2-4.

Hivyo basi naombeni ushauri ni dawa gani nitumie, au ni mimea gani ambao utaweza kutatua hili tatizo ? karibuni wakuu...
 
Back
Top Bottom