Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 420
Habari za asubuhi wapendwa natumaini ni Jumatatu nyingine tena ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu.
Je kwa wataalamu wa masuala ya uzazi ni zipi sababu zinazofanya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi..??
Je ikiwa mimba imetunga nje ya mfuko wa uzazi ni madhara yapi anayapata mwanamke..??
Je kuna uwezekano asilimia ngapi mtoto aliyeko tumboni kuweza ku_survive..???
Nawasilisha....