Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wa miaka 7 ndiyo mzuri hasa.Nawashukuru sana
Nimepanga uzao wangu wote lazima upitie huu mchezo, huyu mdogo ana miaka 3 kasoro, nimepanga kumpeleka pahala ajifunze
Umri unaofaa ni upi?
Unanishauri nini zaidi?
Nimepanga uzao wangu wote lazima upitie huu mchezo, huyu mdogo ana miaka 3 kasoro, nimepanga kumpeleka pahala ajifunze
Umri unaofaa ni upi?
Unanishauri nini zaidi?
Hii ni kutokana na uzoefu wangu(binafsi nilianza na miaka 10).Kwanini miaka 7?