Nimepanga uzao wangu wote lazima upitie huu mchezo, huyu mdogo ana miaka 3 kasoro, nimepanga kumpeleka pahala ajifunze
Umri unaofaa ni upi?
Unanishauri nini zaidi?
Unahangaika nini Mkuu... umri unaofaa kumpeleka mwanao,ni umri wa Mfalme wa soka duniani kwa mara ya kwanza kujiunga na Newell’s Old Boys ilikuwa 1994, hapo alikuwa ana umri wa miaka 7