Yes ukisoma maalezo yangu utagundua hii PRND nimeisha ielezea indirect (gari yenye prnd huwa ni zile yenye gearbox ya CVT... Gear box ya cvt ni nzuri sana ukijua namna ya kuitunza.. hii gear box ipo very Weezer kwenye gear ratio kwakua inatumia belt ku transfer power kutoka kwenye injini kwenda matajri hii gearbox huwa haina zile gear change shocks kama zile automatic za kawaida kwakua hivi gapless (yaan continuous variable transmission) ... Sasa kwakua ipo precise kwenye gear ratio hii haitaji L wala 2 kwakua car computer inatake car sana (na gari za gearbox hizi zinakua ni gari za umeme mwingi mpaka accelerator pedal yake (electric throttle body) sasa hapa utakua gari ina change tu RPM ili kuchange power band ya injini huku belt ikichange gear ratioa seamlessly kuwezesha gari either kua na power kubwa na ndogo kulingana na terrain uliopo...
Kwa gearbox hii gari hua inakua more fuel efficient kuliko conventional automatic gear box cars na inakua haina tatizo la gear hunting..
Cvt gear box ipo very smooth kwenye gear change kuliko gearbox yeyote, pia inawah kuchanganya sana na ina attain speed kubwa at low rpm ndo maana ipo fuel efficient. (Mfano gari ya cvt inaweza kufika speed ya 80km/h ikiwa kwenye rpm ya 1.4 lakini gari yenye conventional automatic gear box ina attain speed ya 80 ikiwa kwenye rpm ya 2.
Kwa gari hizi za CVT utaigundua kwenye gear lever yake utakuta ina PRND au PRNDB pamona Sport mode au PRND(S+/-) inakua haina L na 2..
Note: hizi gari za CVT ukiwa unaenda badilisha transmission fluid... Hakikisha unaweka recommend fluid type kwakua ukiweka fluid tofauti na recommended type gear box inakufa muda mfupi baada ya kuchange... Wengi wamekutwa na changamoto hii...
Na mwaweza kunicheki kwa professional services at very affordable costs and pia am available kutoa consultation about car servicing for free. Just sent me private text (PM) nipo dsm kigamboni kibada na kinondoni makaburini.