Msaada: Ni wakati gani gia L na 2 hutumika katika automatic car?

Safi sana. Umeelezea kiutaalamu na kwa lugha rahisi na rafiki sana ambayo hata wana CCM au watoto wa primary wanaweza kuelewa kwa urahisi. Sana.
 
Hebu please fafanuka mkuu. Hapo kwenye frequency ya kubadilisha oil......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…