Hii nayo ni engine nzuri na yenye nguvu pia inastahimili sana.Td 42 ya kwenye Patrol unaionaje mkuu
dodge
1HZ kuwa makini sije wakakupa toleo la zamani zile zenye mfumo wa Heater au Pre heater hizi zilitoka na Land Cruiser Series 75 (HZJ75). Ambazo kabla ya kuwasha lazima uchome heater ndio uwashe gari.
Hizi usumbufu wake ni Heater ikifa gari husumbua kuwaka na kila sehemu ya Piston kuna heater 1 kwaiyo inakuwa na Heater 6.
Used toka Japan bei inaanzia million 9. Ilala kuna maduka ni waaminifu watakupa ofa ya guarantee kwa kipindi fulani na ikiharibika unaruhusiwa kurudisha na wakakubadilishia.
Engine ya low mileage kwa macho kuijua ngumu maana watu ni wajanja engine inasafishwa na kupigwa rangi ukiambiwa hii ilitumika km 50,000 wewe huwezi kubisha.
Ni engine nzuri pia ila kwa mimi hii naona inafaa katika biashara ya daladala katika Coaster maana ni ulaji wake wa mafuta upo kawaida na haina magonjwa ya ajabu.Mkuu naona umenongea vizuri sana ila nadhani 14B engine nazo zipo vizuri sana wengine wanasema ni bora kuliko 1hz.. nini maoni yako ya kitalaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni engine nzuri pia ila kwa mimi hii naona inafaa katika biashara ya daladala katika Coaster maana ni ulaji wake wa mafuta upo kawaida na haina magonjwa ya ajabu.
1HZ ina cc kubwa na ni 6 cylinder ila ulaji wa mafuta ni kawaida. 1HZ anakuwa bora kwa kuwa na speed na nguvu zaidi iyo 14B inachelewa kuchanganya.
Kweli mshua alikuwa na liji land cruiser hardtop la Long time, nahisi ndio hilo HZJ75 la miaka ya 80 huko! Ilikuwa nikiliwasha lazma niweke kwenye ACC taa ya heater ikizima ndio napiga.1HZ kuwa makini sije wakakupa toleo la zamani zile zenye mfumo wa Heater au Pre heater hizi zilitoka na Land Cruiser Series 75 (HZJ75). Ambazo kabla ya kuwasha lazima uchome heater ndio uwashe gari.
Hizi usumbufu wake ni Heater ikifa gari husumbua kuwaka na kila sehemu ya Piston kuna heater 1 kwaiyo inakuwa na Heater 6.