Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 447
- 712
Hivi kuna 1HZ isiyotumia heater kweli?1HZ kuwa makini sije wakakupa toleo la zamani zile zenye mfumo wa Heater au Pre heater hizi zilitoka na Land Cruiser Series 75 (HZJ75). Ambazo kabla ya kuwasha lazima uchome heater ndio uwashe gari.
Hizi usumbufu wake ni Heater ikifa gari husumbua kuwaka na kila sehemu ya Piston kuna heater 1 kwaiyo inakuwa na Heater 6.
Sent using Jamii Forums mobile app