Msaada: Ni wapi ninapoweza kununua engine kamili ya 1HZ na iliyo katika hali nzuri?

Hivi kuna 1HZ isiyotumia heater kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu, huwezi jua umakini/ubora wa injin hadi uifunge ktk gari na itembee! Kwa ajili hiyo, badala ya kutafuta injini bora ya kufikirika, ni kwann usinunue overhall kit ambayo inavipuri bora?

Kwasababu hivi unaweza kuviona na kutofautisha kutokana na brand pamoja na bei, na baada ya kuifunga injin sasa unakuwa na uhakika wa injin yako.

Ni tofauti sana na kununua injin ambayo hujui hasa ina hali gani"

Kwani hiyo gari unayotaka kuinunulia injin,
Injin iliokuwepo ina shida gani?



Sent using Redmi Y2
 
Niko pamoja nawe
 
Kama engine Yako niyakufanyia overhaul nione nikufanyie, Mimi ni mtaalam wa hizo gari na itatulia Sana. Ila kama unataka engine ya used kwa hapa bongo nenda pale temeke kwa sokota pale unapata engine ya uhakika %100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…