My dear mim si kwamba nableed; hapana ila ninatafuta mtoto wa pili but mimba haishiki, ndio ktk kwenda kucheck madaktari (hospital mbali mbali) wamenambia tatizo langu ni hormones hazijabalance, so mayai hayakomai. Ktk pitapita kwenye mitandao ndio nikaiona hiyo dawa, nimeona wanawake wengi wenye tatizo kama langu wametoa ushuhuda kwamba wamefanikiwa kupata watoto.Pole sana Sisame,nilikua na bleed mpaka mwezi,nikaambiwa ni Hormonal imbalance,ila lilivyozidi wakaniwekea coil huko kwa bibi,sasa hivi napeta tu,sibleed kabisa,sasa sijui na wewe tatizo lako kama langu?kama unableed sana nakushauri umuone daktari wa magonjwa ya wanawake