Msaada: Ni wapi nitapata VITEX (Chasterberry) hapa TZ

Msaada: Ni wapi nitapata VITEX (Chasterberry) hapa TZ

sisame

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
365
Reaction score
320
Wandugu salaam!
Naomba kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata hivi vidonge VITEX chasterberry!!
Nimesoma mtandaoni ktk post mbalimbali kwamba hivyo ni vizuri sana kwa kubalance hormones za wanawake, nina tatizo la hormonal imbalance, kwa muda mrefu nimehangaika bila mafanikio. Msaada mwanyekufahamu inapopatikana Vitex, I want to give it a try. Pia mwenye ufahamu mzuri wa mbadala wa Vitex chasterberry ninapokea ushauri. Naomba kuwasilisha!
 
Pole sana Sisame,nilikua na bleed mpaka mwezi,nikaambiwa ni Hormonal imbalance,ila lilivyozidi wakaniwekea coil huko kwa bibi,sasa hivi napeta tu,sibleed kabisa,sasa sijui na wewe tatizo lako kama langu?kama unableed sana nakushauri umuone daktari wa magonjwa ya wanawake
 
Hormonal imbalance imekuwa wimbo sana siku Hizi jamani! I wonder what's the cause!
 
My dear mim si kwamba nableed; hapana ila ninatafuta mtoto wa pili but mimba haishiki, ndio ktk kwenda kucheck madaktari (hospital mbali mbali) wamenambia tatizo langu ni hormones hazijabalance, so mayai hayakomai. Ktk pitapita kwenye mitandao ndio nikaiona hiyo dawa, nimeona wanawake wengi wenye tatizo kama langu wametoa ushuhuda kwamba wamefanikiwa kupata watoto.
 
Hormonal imbalance imekuwa wimbo sana siku Hizi jamani! I wonder what's the cause!
Sure, hormonal imbalance is like a monster now to a number of women! May God help us out!
 
Back
Top Bottom