Jiggy El Jefe
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 143
- 170
Mwenzako akinyolewa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante xan mkuuMkuu unapenda kufa??? Bila shaka jibu ni hapana, sasa basi tafuta au muone daktari akushauri kuhusu dawa ambazo hazina madhara... Mfano wanasema kinga ni bora kuliko tiba, nunua dawa za malaria zile za kukaa siku saba then hamu ikija tu meza dawa...hiyo hamu itapotea sababu akili yako itajenga taswira ya jeneza pale ukigusa pombe. Hii hali ukiimanage kwa muda wa miezi mitatu hadi sita basi hongera umefanikiwa kuacha pombe
Yaaan itafutie sababu ya kumeza dawa tu, unless unataka kufa basi we piga tu mkuu