Msaada:nianzie wapi kutafuta scholarship

Msaada:nianzie wapi kutafuta scholarship

babjohn

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
112
Reaction score
16
Mimi ni kijana wa kitanzania niliemaliza kidato cha sita mwaka huu (2015) combination ya pcb
katika maisha yangu ndoto zangu kubwa ni kwenda kusomea nje ya nchi ikibidi hata kuish huko...tatizo ni kuwa ufaulu wangu hautakuwa wa kiwango kikubwa sana lakini nina uhakika wa kufaulu sasa nashindwa nianzie wapi kuitafuta
kwa anayejua anisaidie
nchi yoyote ila isiwe na migogoro ya kisiasa wala vita ya wenyewe kwa wenyewe...najua hata nyie hampendi mdogo wenu nikateseke ...kwa hio ziwe nch zenye utulivu
nawasilisha na asanten sana
 
Unachotakiwa ni kuomba kwanza chuo ukishapata registration ndio unatumia kama kielelezo cha kuombea ufadhiri, kuna vyuo vizuri nje ya nchi kama Kenya hapo unaweza ukaomba hata gharama ya maisha sio kubwa sana na lengo lako litakuwa limetimia la kusomea nje ya nchi, check University of Baraton
 
Wizara ya elimu wanazo scholarship za undergraduates, tembelea wizarani idara ya elimu ya juu ,jengo la sera na mipango chumba namba 28 na 29 hapo utapata maelezo. Pia pendelea kutembelea website yao. Undergaraduate scholarship zipo katika nchi za Algeria, msumbiji na baadhi ya nchi za mashariki ya kati
Pia onlines zipo nyingi, ni juhudi yako tu kuzitafuta. Acha kushinda facebook na whatsap, shinda mtandaoni with focus ya kutafta scholarship utapata tu. Pia unaweza kusubscribe kwenye scholarship sites ili kupata updates kila zinapotoka, just google for scholarship utazipata nyingi tu
Anza na hapa: http://www.scholars4dev.com/1892/go...tional+Scholarships+for+Developing+Countries)

Kila la kheri
 
Ila me napenda nchi za ulaya...kwa hapa east africa ni bora nibak udsm
 
Back
Top Bottom