Cyprian nana
Member
- May 3, 2013
- 12
- 17
Ishi na Subaru kaka, mimi nina ya 2008, mpaka leo haijanipa tabu, tangu 2021, nnachofanya ni service kwa wakati, na kutumia oil + filter genuine!!Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011. Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa.
Lakin naitaj gar yenye nguvu, comfortable barabaran ,rough road iwe vzuri plus mantainance spare ziwepo
ina turbo ?Ishi na Subaru kaka, mimi nina ya 2008, mpaka leo haijanipa tabu, tangu 2021, nnachofanya ni service kwa wakati, na kutumia oil + filter genuine!!
Tunasubiria majibuina turbo ?
Subaru✅✅✅Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011. Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa.
Lakin naitaj gar yenye nguvu, comfortable barabaran ,rough road iwe vzuri plus mantainance spare ziwepo
Haina turbo, za turbo zinasumbua maana hazitumiki ipasavyo!!ina turbo ?
Haina turbo, za turbo zinasumbua maana hazitumiki ipasavyo!!
Shida yake haswa nini?
Tupe elimu kaka nawasilisha.
Turbo inakula mafuta na pia inahitaji sana matunzo.
Binafsi yangu gari nataka ikiwa kubwa basi iwe na nguvu na nguvu lazima ihusishe wese la kiwango flani hiyo kwangu syo shida.
Matunzo yapi yanatakiwa juu ya hiyo gari?
Kufanya service kwa wakati(engine &gearbox )?
Au ni gari ambayo haihitaji mikimiki au nini?
Au ni gari zina faults flani toka kiwandani
(Mechnical issues au nini)
Nauliza kwa sabab ndio gari yngu ninayotaka kuchukua iwe na turbo+ intercooler ikiwa na 2.5L ni nzuri zaidi with manual gearbox(5 speed gearbox)
Achana na Subaru, chukua Toyota utakuja kunikumbuka.
1. Mafundi wa kubahatisha.
2. Viti vya Subaru viko chini, Yan Dereva unadumbukia sijui ndo sport car wanasema.
3. Spare ni ishu nyingine ya kukatiza tamaa.
Chukua Klugger au ongeza pesa chukua Harrier wanaita tako la nyani.
Bora harrier old model kuliko huyo mdudu Forester.
Achana na maswala ya performance sijui vitu gani kwani unaenda kushindana mbio za magari?
hazitaki wazembe sioHaina turbo, za turbo zinasumbua maana hazitumiki ipasavyo!!