Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Sawa sawa mkuu.Wakati huo nilikuwa nalipa 22,000/= Kwa mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa mkuu.Wakati huo nilikuwa nalipa 22,000/= Kwa mwezi
Ahaa poa kiongozi nazidi kuchekecha hapaNilianza kutumia wakati huo wanajiita m power
60,000 kwa sasa ila ninaweza kuifanya iwe 100,000.Una bajeti ya sh ngapi,tuanzie hapa halafu nikushauri
hapo nunua solar watt 20,nunua betri N18,Taa, na simu utachaji bajeti hiyo inatosha na kamziki utapiga60,000 kwa sasa ila ninaweza kuifanya iwe 100,000.
Nitakapo pata wazo la kuondoka nalo
Asante kwa ushauri mkuuhapo nunua solar watt 20,nunua betri N18,Taa, na simu utachaji bajeti hiyo inatosha na kamziki utapiga