Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,611 Reaction score 2,881 Feb 28, 2025 #21 Chakula Kibaya said: Wakati huo nilikuwa nalipa 22,000/= Kwa mwezi Click to expand... Sawa sawa mkuu.
Chakula Kibaya said: Wakati huo nilikuwa nalipa 22,000/= Kwa mwezi Click to expand... Sawa sawa mkuu.
Tajiri Sinabay JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 1,333 Reaction score 3,619 Feb 28, 2025 Thread starter #22 Chakula Kibaya said: Nilianza kutumia wakati huo wanajiita m power Click to expand... Ahaa poa kiongozi nazidi kuchekecha hapa
Chakula Kibaya said: Nilianza kutumia wakati huo wanajiita m power Click to expand... Ahaa poa kiongozi nazidi kuchekecha hapa
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Feb 28, 2025 #23 Una bajeti ya sh ngapi,tuanzie hapa halafu nikushauri
Tajiri Sinabay JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 1,333 Reaction score 3,619 Feb 28, 2025 Thread starter #24 Tumwesige senior said: Una bajeti ya sh ngapi,tuanzie hapa halafu nikushauri Click to expand... 60,000 kwa sasa ila ninaweza kuifanya iwe 100,000. Nitakapo pata wazo la kuondoka nalo
Tumwesige senior said: Una bajeti ya sh ngapi,tuanzie hapa halafu nikushauri Click to expand... 60,000 kwa sasa ila ninaweza kuifanya iwe 100,000. Nitakapo pata wazo la kuondoka nalo
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Feb 28, 2025 #25 Tajiri Sinabay said: 60,000 kwa sasa ila ninaweza kuifanya iwe 100,000. Nitakapo pata wazo la kuondoka nalo Click to expand... hapo nunua solar watt 20,nunua betri N18,Taa, na simu utachaji bajeti hiyo inatosha na kamziki utapiga
Tajiri Sinabay said: 60,000 kwa sasa ila ninaweza kuifanya iwe 100,000. Nitakapo pata wazo la kuondoka nalo Click to expand... hapo nunua solar watt 20,nunua betri N18,Taa, na simu utachaji bajeti hiyo inatosha na kamziki utapiga
Tajiri Sinabay JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 1,333 Reaction score 3,619 Feb 28, 2025 Thread starter #26 Tumwesige senior said: hapo nunua solar watt 20,nunua betri N18,Taa, na simu utachaji bajeti hiyo inatosha na kamziki utapiga Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu
Tumwesige senior said: hapo nunua solar watt 20,nunua betri N18,Taa, na simu utachaji bajeti hiyo inatosha na kamziki utapiga Click to expand... Asante kwa ushauri mkuu